Leave us a review
To help the RentalCover.com community, please take 30 seconds to leave feedback on your experience. We appreciate it!
Rating girl

Mwongozo wa kukodisha

for residents of
Namibia

Bima ya kukodisha gari Namibia

We could not find a policy for this destination and residence combination
Kwa hivyo unakodesha gari ndani ya Namibia. Katika RentalCover.com, tumeunda biashara ya dunia nzima na kuwapa wateja usimamiwaji bora kwa bei nafuu zaidi.
: Gari

At the rental desk...

Bima inayotolewa, na nini unahitaji kujua
Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano (CDW)/Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Kupoteza (LDW)
CDW/LDW huondoa ugharamikiaji gharama za uharibifu kikamilifu pamoja na excess ya juu zaidi kwa uharibifu (5,000.00 US$ kwa magari madogo hadi 7,500.00 US$ kwa magariboma).LDW ni CDW + Kinga Dhidi ya Wizi.
  • Excess ya kulipwa kwa uharibifu wowote huwa juu sana.
  • Ina mengi ya kawaida yasiyojumuishwa kama vile magurudumu, kioo cha kuzuia upepo, mvunguni mwa gari n.k.
Ondoleo Kuu la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano (SCDW)
Ondoleo Kuu la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano hupunguza excess yako iliyosalia kwa 0.00 US$.
  • Inaweza kununuliwa kwa 30.00 US$ - 45.00 US$ kwa siku.
  • Gharama nyingi zaidi za excess ndogo.
  • Lipa hata zaidi ili kupata excess $0.
Bima ya Usaidizi Kandoni mwa Barabara
Husimamia gharama za kandoni mwa barabara kama vile ukokotwaji, mafuta na kufungia funguo.
  • Inaweza kununuliwa kwa 10.00 US$ - 15.00 US$ kwa siku.
RentalCover.com Bima inayofananishwa na faida
Kinga Kamili
Sawia na Ondoleo la Ugharamikiaji Excess + Msaada wa Kandoni mwa Barabara + $0 excess ya kukatwa.
  • Hakikisho Letu: Tutashinda bei yoyote ile.
  • Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi.
  • Inajumuisha usimamiwaji wa bila malipo wa msaada wa kandoni mwa barabara, kukokotwa (hukuokolea 5.00 US$ - 10.00 US$ kwa siku. Pia husimamia kupotea kwa funguo.
  • Husimamia ada zinazohusiana na ajali.
  • Batilisha wakati wowote hadi kufikia uchukuaji gari.
  • Husimamia aina za uharibifu ambao makampuni ya ukodeshaji hayajumuishi.

Hivi ni vidokezo vyetu vikuu ambavyo kwavyo sisi huishinda hiyo kampuni yako ya kodeshaji gari.

Nunua bima kabla haujaondoka na uokoe pesa

Ikiwa hutaki kuingia kwa mtego wa mikwaruzo ya gharama kubwa, wacha ata uharibifu kwa mgongano nunua bima ya rental car kabla haujaondoka.Ukiwa nasi, utalipia sehemu ya bei ya bima kwenye ile meza ya ukodeshaji.

Nasa hali ya hilo gari

Piga picha & video za hilo gari kabla haujaondoka ili kuhepuka ada zisizo za haki. Hakikisha kwamba uharibifu wowote ambao tayari upo umeandikishwa kwenye makubaliano ya ukodeshaji kwa maana makampuni mengine laghai ya ukodeshaji gari yana mazoea ya kulipisha mteja uharibifu uliokuweko.

Wewe sema 'la'

Ikiwa umenunua Usimamiwaji Kamili kwetu, unaweza kusema 'la' kwa kuuziwa cha lazima kwa msaada wa kandoni mwa barabara kutoka kwa hiyo kampuni ya ukodeshaji.

Ikiwa umenunua Usimamiwaji Kamili kwetu, unaweza kusema 'la' kwa kuuziwa cha lazima kwa msaada wa kandoni mwa barabara kutoka kwa hiyo kampuni ya ukodeshaji.

Ukiwa na Kinga Kamili...
  1. Fahamisha kampuni yako ya ukodeshaji gari kuhusu huo uharibifu. Watashauri hatua zitakazofuata.

  2. Wakati ukodeshaji wako umeisha, wasilisha dai lako katika rentalcover.com/claims. Utahitaji nyaraka hizi.

  3. Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, lakini zingatia kwamba settlement times may differ.

  4. Ikiwa kampuni yako ya ukodeshaji gari itakupea gari jipya, sera yako ya RentalCover.com pia itasimamia hilo gari lako jipya kwa kipindi cha sera yako mradi ubadilishanaji kwa inayofanana. Hauhitaji kutufahamisha kuhusu huo ubadilishaji gari.

Pata nukuu ya safari yako ijayo

:
:
Upimaji kwa magari yenye viti vyema 9 (ikiwa ni pamoja na dereva)
Chagua tarehe yako ya kuacha
Uliopita
Januari 2025
345AI12
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
Ifuatayo
Februari 2025
345AI12
     12
3456789
10111213141516
17181920212223
2425262728