Leave us a review
To help the RentalCover.com community, please take 30 seconds to leave feedback on your experience. We appreciate it!
Rating girl

Mwongozo wa kukodisha

for residents of
Bolivia

Bima ya kukodisha gari Bolivia, Plurinational State Of

We could not find a policy for this destination and residence combination
Kwa hivyo unakodesha gari ndani ya Bolivia. Katika RentalCover.com, tumeunda biashara ya dunia nzima na kuwapa wateja usimamiwaji bora kwa bei nafuu zaidi.
: Gari

At the rental desk...

Bima inayotolewa, na nini unahitaji kujua
Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano (CDW)/Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Kupoteza (LDW)
CDW/LDW huondoa ugharamikiaji gharama za uharibifu kikamilifu pamoja na excess ya juu zaidi kwa uharibifu (34,541.01 BOB kwa magari madogo hadi 51,811.51 BOB kwa magariboma).LDW ni CDW + Kinga Dhidi ya Wizi.
  • Excess ya kulipwa kwa uharibifu wowote huwa juu sana.
  • Huenda ikawa na baadhi ya vitu vya kawaida visivyojumuishwa.
Ondoleo Kuu la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano (SCDW)
Ondoleo Kuu la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano hupunguza excess yako iliyosalia kwa 0.00 US$.
  • Inaweza kununuliwa kwa 138.16 BOB - 207.25 BOB kwa siku.
  • Gharama nyingi zaidi za excess ndogo.
  • Lipa hata zaidi ili kupata excess $0.
Bima ya Usaidizi Kandoni mwa Barabara
Husimamia gharama za kandoni mwa barabara kama vile ukokotwaji, mafuta na kufungia funguo.
  • Inaweza kununuliwa kwa 69.08 BOB - 103.62 BOB kwa siku.
RentalCover.com Bima inayofananishwa na faida
Kinga Kamili
Sawia na Ondoleo la Ugharamikiaji Excess + Msaada wa Kandoni mwa Barabara + $0 excess ya kukatwa.
  • Hakikisho Letu: Tutashinda bei yoyote ile.
  • Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi.
  • Inajumuisha usimamiwaji wa bila malipo wa msaada wa kandoni mwa barabara, kukokotwa (hukuokolea 34.54 BOB - 69.08 BOB kwa siku. Pia husimamia kupotea kwa funguo.
  • Husimamia ada zinazohusiana na ajali.
  • Batilisha wakati wowote hadi kufikia uchukuaji gari.
  • Husimamia aina za uharibifu ambao makampuni ya ukodeshaji hayajumuishi.

Hivi ni vidokezo vyetu vikuu ambavyo kwavyo sisi huishinda hiyo kampuni yako ya kodeshaji gari.

Nunua bima kabla haujaondoka na uokoe pesa

Ikiwa hutaki kuingia kwa mtego wa mikwaruzo ya gharama kubwa, wacha ata uharibifu kwa mgongano nunua bima ya rental car kabla haujaondoka.Ukiwa nasi, utalipia sehemu ya bei ya bima kwenye ile meza ya ukodeshaji.

Nasa hali ya hilo gari

Piga picha & video za hilo gari kabla haujaondoka ili kuhepuka ada zisizo za haki. Hakikisha kwamba uharibifu wowote ambao tayari upo umeandikishwa kwenye makubaliano ya ukodeshaji kwa maana makampuni mengine laghai ya ukodeshaji gari yana mazoea ya kulipisha mteja uharibifu uliokuweko.

Wewe sema 'la'
Sera Kukataliwa

Bima katika Amerika ya Latino haithibitiwi sana kama vile wewe umezoea. Baadhi ya makampuni ya ukodeshaji gari huenda yakasisitiza kwamba ununue bima kutoka kwao. Ikiwa kampuni yako ya ukodeshaji haikubali sera yetu, tufahamishe na tutakurejeshea kikamilifu pesa zako.

Ukiwa na Kinga Kamili...
  1. Fahamisha kampuni yako ya ukodeshaji gari kuhusu huo uharibifu. Watashauri hatua zitakazofuata.

  2. Wakati ukodeshaji wako umeisha, wasilisha dai lako katika rentalcover.com/claims. Utahitaji nyaraka hizi.

  3. Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, lakini zingatia kwamba settlement times may differ.

  4. Ikiwa kampuni yako ya ukodeshaji gari itakupea gari jipya, sera yako ya RentalCover.com pia itasimamia hilo gari lako jipya kwa kipindi cha sera yako mradi ubadilishanaji kwa inayofanana. Hauhitaji kutufahamisha kuhusu huo ubadilishaji gari.

Pata nukuu ya safari yako ijayo

:
:
Upimaji kwa magari yenye viti vyema 9 (ikiwa ni pamoja na dereva)