Leave us a review
To help the RentalCover.com community, please take 30 seconds to leave feedback on your experience. We appreciate it!
Rating girl

Mwongozo wa kukodisha

for residents of
Nyuzilandi

Bima ya kukodisha gari New Zealand

We could not find a policy for this destination and residence combination
Kwa hivyo unakodesha gari ndani ya Nyuzilandi.Bila shaka, hamna yeyoye hupenda kufikiria kuhusu bima ya ukodeshaji gari wakati anapofurahia madhari ya Milford Sound, lakini kununua bima ya ukodeshaji gari kabla ya kwenda yaweza kuokoa maelfu, kwa hivyo ni jambo muhimu kufanya. Katika RentalCover.com, tumeunda biashara ya dunia nzima na kuwapa wateja usimamiwaji bora kwa bei nafuu zaidi. Na sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, ili uweze kuokoa NZD za nyama ya kondoo ya ziada.
: Gari

At the rental desk...

Bima inayotolewa, na nini unahitaji kujua
Ondoleo la Ugharamikiaji la Kimsingi (CDW)
Katika NZ CDW/LDW huwa daima imejumuishwa (haitapeanwa kwenye meza ya ukodeshaji). CDW husimamia uharibifu, pamoja na vitu kadha visivyojumuishwa, na "standard excess" iko juu (8,840.17 NZ$ kwa magari madogo hadi 13,260.26 NZ$ magariboma.)
  • Excess ya kukatwa yenye kulipwa kwa uharibifu wowote huwa juu sana.
  • Huwa haisimamii aina za uharibifu wa kawaida hasa magurudumu, kioo cha kuzuia upepo, n.k.
  • Ada za "usimamizi" zinazohusiana na ajali, "kupoteza matumizi" na ada za "uhamishiwaji" huwekwa. Zinaweza kuzidi 1,768.03 NZ$.
Ondoleo la Ugharamikiaji wa Excess/Upunguzwaji wa Excess/Ondoleo la Ugharamikiaji Uharibifu n.k.
Ondoleo la ugharamikiaji excess hupunguza excess yako ya kawaida kwa 0.00 US$.
  • Inaweza kununuliwa kwa 53.04 NZ$ - 79.56 NZ$ kwa siku.
  • Haisimamii magurudumu, vioo vya kuzuia upepo, ada za msaada wa kandoni mwa barabara & kupoteza funguo.
  • Lipa hata zaidi ili kupata excess $0.
  • Makampuni ya ukodeshaji gari hukulipisha hata kama huna "makosa" ikiwa hutanunua ondoleo la ugharamaikiaji excess. RentalCover.com itakurejeshea pesa kwa ajili ya haya mauharibifu.
  • Huenda ukakatwa excess kiasi kizima cha kawaida lakini utarejeshewa mara gharama za urekebishaji zikikamilishwa.
Bima ya Usaidizi Kandoni mwa Barabara
Husimamia gharama za kandoni mwa barabara kama vile ukokotwaji, mafuta na kufungia funguo.
  • Inaweza kununuliwa kwa 17.68 NZ$ - 26.52 NZ$ kwa siku.
  • Haisimamii kubadilishiwa funguo & kukokotwa kumewekewa kikomo (inaweza kuwa gharama kubwa kwa NZ).
RentalCover.com Bima inayofananishwa na faida
Kinga Kamili
Sawia na Ondoleo la Ugharamikiaji Excess + Msaada wa Kandoni mwa Barabara + $0 excess ya kukatwa.
  • Hakikisho Letu: Tutashinda bei yoyote ile.
  • Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi.
  • Inajumuisha usimamiwaji wa bila malipo wa msaada wa kandoni mwa barabara, kukokotwa (hukuokolea 8.84 NZ$ - 17.68 NZ$ kwa siku. Pia husimamia kupotea kwa funguo.
  • Husimamia ada zinazohusiana na ajali.
  • Batilisha wakati wowote hadi kufikia uchukuaji gari.
  • Husimamia aina za uharibifu ambao makampuni ya ukodeshaji hayajumuishi.
Hivi ni vidokezo vyetu vikuu ambavyo kwavyo sisi huishinda hiyo kampuni yako ya kodeshaji gari.


Nunua bima kabla haujaondoka na uokoe pesa

Ikiwa hutaki kuingia kwa mtego wa mikwaruzo ya gharama kubwa, wacha ata uharibifu kwa mgongano nunua bima ya rental car kabla haujaondoka. Ukiwa nasi, utalipia sehemu ya bei ya bima kwenye ile meza ya ukodeshaji.

Nasa hali ya hilo gari

Piga picha & video za hilo gari kabla haujaondoka ili kuhepuka ada zisizo za haki. Hakikisha kwamba uharibifu wowote ambao tayari upo umeandikishwa kwenye makubaliano ya ukodeshaji kwa maana makampuni mengine laghai ya ukodeshaji gari yana mazoea ya kulipisha mteja uharibifu uliokuweko.

Wewe sema 'la'

Ikiwa umenunua Usimamiwaji Kamili kwetu, unaweza kusema 'la' kwa kuuziwa cha lazima kwa msaada wa kandoni mwa barabara kutoka kwa hiyo kampuni ya ukodeshaji.

Ukiwa na Kinga Kamili...
  1. Fahamisha kampuni yako ya ukodeshaji gari kuhusu huo uharibifu. Watashauri hatua zitakazofuata.

  2. Wakati ukodeshaji wako umeisha, wasilisha dai lako katika rentalcover.com/claims. Utahitaji nyaraka hizi.

  3. Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, lakini zingatia kwamba settlement times may differ.

  4. Ikiwa kampuni yako ya ukodeshaji gari itakupea gari jipya, sera yako ya RentalCover.com pia itasimamia hilo gari lako jipya kwa kipindi cha sera yako mradi ubadilishanaji kwa inayofanana. Hauhitaji kutufahamisha kuhusu huo ubadilishaji gari.

Pata nukuu ya safari yako ijayo

:
:
Upimaji kwa magari yenye viti vyema 9 (ikiwa ni pamoja na dereva)